mercredi 3 octobre 2012
Baada ya kimya nini kina fuata?
Msanii maarufu nchini RUKUNDO Kevin Abubakar maarufu BUBA THE HOT,aaeleze nini maana ya kimya chake kirefu....
akiongea na Group letu la INYAMBO:"NI KWAMBA KIMYA CHANGU SIO UJINGINGA AU NINI,NILIKUA NATAFAKARI NINI CHAKUFANYA BAADA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN,KUMBE NI TIMIZE AHADI YANGU NILIO AHIDI KWAMBA NATARAJIA KU FANYA BONGE LA MOVIE ITAKAYO KUA SURPRISE KWA WOTE"
Kwa muujibu wa kundi nzima la IGISABO ART GROUP ambalo ndio kundi lake wanasema akifika nchini BURUNDI kuna filamu mbili (2) tofauti tutakazo fanya.....
ilikuja ku bainika kwamba msanii huyo hayupo nchini nakuomba radhi kwa mashabiki zake:"Naomba radhi kwa mashabiki wenye msimamo kwakua nili pata safari ya ghafla yakuja kwenye semina ya BANTU AWARD nchini TANZANIA ambapo semina hio ili sheheni mastar kibao wa bongo movie"
alimalizia aki sema "shukurani za dhati kwa ALLAH,Mama mzazi,kampani yangu IBDS na group la INYAMBO."
Inscription à :
Articles (Atom)