Baada yaku toa movie ya PIGO LA MOYO kundi la I.B.D.S waliamua ku badili jina la kundi kutoka
I.B.D.S mpaka IGISABO ART GROUP.Vilevile wana tarajia ku futisha movie nyingine baada ya Mfungo wa RAMADHANI.
Wakiongea na INYAMBO,kiongozi wa IGISABO ART GROUP "NDAYISHIMIYE Richard"
"Tuna wa ahidi mashabiki wetu wote kuwapa mfururizo wa movie mwaka huu hadi mwakani..."
"NSABIMANA Innocent" kama Camera man wao na Editor mkuu aliongea na INYAMBO kupitia njia ya simu asema "Vijana wangu nawakubali sina hofu nao kwakua tumesha fanya nao filamu nyingi tofauti bila usumbufu,it's up to them kujua what to do,niko tayari mda wowote..."
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire