mardi 26 juin 2012

P.M.G Mc Muga (afukuzwa south africa)






(www.burundinyambo.blogspot.com)




Msanii PMG,baada ya ku fanya uzinduzi wa album GANGSTAR RAPPER,aliamua kuuza kitega uchumi chake
STUDIO Cash Money,ili apate nauli ya ku mfikisha africa ya kusini ambapo alitarajia kuwa na maisha bomba zaidi kuliko aliyo kuwanayo hapo awali,kumbe sio...
kipi kilicho mkuta?

PMG alifukuzwa africa ya kusini kama mbwa koko.sasa kwa muda huu yuko jijini Bujumbura hana mbele au nyuma...Kama mc muga.amerudi mwanzo wa maisha...........

Aucun commentaire: