lundi 18 juin 2012

SUGU JAY AKUTANA NA KUNDI LAKE LA FILAMU ‘BUJA ARTS’

 


SUGU JAY mwanamuziki vile vile zkiwa anaigiza filamu leo hiyi ametembeleya kundi lake la ‘Buja Arts’ niya na mazumuni ikiwa nikutowa ushauri kwa waigizaji wenza na kupanuwana mawazo yakisanii.Alitwambiya:“Watu waliitika wito na nimetangaza mpango wangu wa movie kwa kuwa ile campun ilofanya video zangu ya KESHY LAB ikiwa nakituo chake SOUTH AFRICA itakuja baada ya mwezi kuchukuwa picha(kushoot movie) ambayo watu watajiandikisha kisha tufanye audition tucaguwe wenye wataceza,ila filamu hiyo itamalizikia South Africa.”

Aucun commentaire: