(www.burundinyambo.blogspot.com)
Kundi la Young Boys Familly wanajiandaa kutoa wimbo mpya,ambao walipewa ofa na enrick pro wa KIM FRANS HOUSE RECORD,baada ya interview ya ommy n kiss mmoja wakundi hilo kwenye RADIO CULTURE na Allain Novart,baada ya kujieleza ipaswavyo Producer huyo alijitolea kumpa ofa ya wimbo mmoja....
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire