kama tulivyo wafahamisheni mwishoni mwa jumaa iliyopita Burundi
ilikuwa imepata fursa yakuanda Festival yakimataifa iliyo zikutanisha
nchi tofauti za kanda ya Afrika Mashariki na Jamuhuri yakidemokrasia ya
Congo.Walikuwa wamesubiriwa wasanii vigogo barani Afrika kama Weasel
& Redio toka Ouganda katika kundi la Good Life,Jaguar,Tom
Close,Diamond,Docter Claude,Mickeal Ross na Papa Wemba.Kwa taarifa
tulizo zipata toka kwa aliye kuwa anasimamiya mambo yakupasha habari
Landry MUGISHA alitwambiya:“Ni mambo mengi yaliyo tuma Tamasha
isifanyiki siku mbili apo nikizungumziya Jumaa-mosi na Jumaa-pili,mambo
yaliyo sababisha pengine ifikapo hapo kesho ntaweza kuyaweka wazi kwani
kuna mambo wako wanafatiliya Bank kwa upande wa mambo ya hesabu tuliyo
yafanya na Kampuni kutoka Ouganda tuliyo ingiya nayo mkataba kuhusikana
na swali nzima la ufundi(Sonorisation),ni mambo mengi yaliyo ingiliyana
ndugu yangu na yakatuma Tamasha lisiendeki kama tulivyo kuwa tulitangaza
kupitiya vituo tofauti vya Radio na Television,kwa kweli twa omba radhi
kwa watu wote walio weza kutokeya siku zote hizo 4.“Fahamu yakuwa Tamasha rasmi ilianza hapo tarehe 5/July/2012 kwenye ukumbi huyo huyo wa EFI tarafani NYAKABIGA,siku hiyo watu wengi wali itika wito na walikuwa wengi kweli,siku ya pili hapo tarehe 6/July/2012 watu walikuwa wengi vile vile,siku ya tatu hapo tarehe 7/July/2012
watu wali itika ila bahati mbaya hawakuburudika na muziki kama
walivyokuwa wanasubiriya.Na hivo hivo jana hapakuwa lolote.tusubiri
muelezo wawalio anda Tamasha hiyo ili tujuwe ni kipi kilicho sababisha
kwani apo awali kama tulivyo wajulisheni Festival hiyo ingelichukuwa
pengine na fasi ya kwanza kwa Tamasha zote zilizo kuwa zimeandaliwa
nchini Burundi apo tukinukulu misemo ya LANDRY MUGISHA (chargé de la Communication).Itaendeleya…
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire