kwa
jina anaitwa danson the great power,ni msanii anaefanyavizuri kwenye tasnia ya
buja film katika maojiano nae aliweza kujieleza
"Nawatakiaki ndugu zangu wote waislam mafungo
mema ya mwezi mtukufu wa ramadhan"alizidi kujieleza "nawashukuru
wadau wa buja film walivyo pokea film yetu ya kwanza PIGO LA MOYO,wadau kaeni
mkao wa kula baada ya mwezi huu mtukufu natarajia kuja kivingine kabisa ku wapa
ladha tofauti,pia napenda ku waageni baada ya mwezi huu mtukufu nitajielekeza
Nchini tanzania ku wasabahi familia yake ilio baki huko,namalizia kwa kutoa
shukurani zangu za dhati kwa wasanii wenzangu wote wa buja films na mashabiki
niombeeni dua niweze kufika kwausalama na kurudi kwa usalama zaidi,nashukuru
blog inyambo kwa habari moto moto"
Hiyo ndio kauli yake DANSON THE GREAT POWER
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire