samedi 28 juillet 2012

Kauli ya DANSON THE GREAT POWER







kwa jina anaitwa danson the great power,ni msanii anaefanyavizuri kwenye tasnia ya buja film katika maojiano nae aliweza kujieleza

"Nawatakiaki ndugu zangu wote waislam mafungo mema ya mwezi mtukufu wa ramadhan"alizidi kujieleza "nawashukuru wadau wa buja film walivyo pokea film yetu ya kwanza PIGO LA MOYO,wadau kaeni mkao wa kula baada ya mwezi huu mtukufu natarajia kuja kivingine kabisa ku wapa ladha tofauti,pia napenda ku waageni baada ya mwezi huu mtukufu nitajielekeza Nchini tanzania ku wasabahi familia yake ilio baki huko,namalizia kwa kutoa shukurani zangu za dhati kwa wasanii wenzangu wote wa buja films na mashabiki niombeeni dua niweze kufika kwausalama na kurudi kwa usalama zaidi,nashukuru blog inyambo kwa habari moto moto"


Hiyo ndio kauli yake DANSON THE GREAT POWER

lundi 23 juillet 2012

IYF




Turasubiriye kandi kwibutsa urwaruka rwose ko iyandika kuri bamwe bazoja muri ya camp mondial ko bibandanya, ku batariyandikisha mwibuke ko ibibanza biharuye,kuwuzosiba canke agacererwa azoba ahomvye ikintu kidasanzwe,
IKIBANZA CO KWIYANDIKISHIRIZAKO ni kuri PALAIS DES ARTS hamwe no kuri SIEGE mu NGAGARA Q10 inyuma ya Bureau ya DOCUMENTATION, ku bari mu buraruko (NORD)iyandikishe mu kayanza canke uterefone kuri 79790837.

Nkuko twari twabibamenyesheje hakiri kare ko hariho ihiganwa ririko riraba ritunganijwe na IYF BURUNDI aridyo IYF CULTURE rikaba dyahuje imigwi itandukanye itandamba intambo z'IKIRUNDI, SALSA, hamwe n'ABARIRIMVYI, eka n'abakinyi b'ivyese(THÉÂTRE) kugira twitegurire neza ico gihe kitoroshe, caraye giheze hakaba haracaguwe bamwe muri baba Stars mukunda cane nka Nzeyimana Mkomboz, Miss Erica hamwe n'abandi, Tukazoba turikumwe rero muri ico gihe kidasanzwe.
WUMVA USHAKA KUBANA NABO MURI ICO GIHE?
WOBA UTARARONKA AKADYO KO KUBONANA NABO?
Nyarukira kuri palais des arts wiyandikishe muzikurikiranire abo bakunzi banyu amaso muyandi kuko ico gihe bazobica bicike,nayo icibagiwe ni intambo n'imvyino za Iyf Burundi zizoba ari akaroruhore.

Nimuze muri benshi kugira dusangirane ivyiza vya IYF.

Pour plus d'info contact +257 79 790837 & 75483550 & 78/75976940 & 79/78/76 901723

dimanche 22 juillet 2012

Yala yala SAT B siri nje"Ndoa yake yafanyika kisri siri"





Msanii wetu maarufu sana nchini,BIZIMANA Abubakar Karume,"SAT B",aamua kufanya ndoa kisiri siri alkhamis ya tarehe 19/july/2012 usiku wa ku amkia mwezi mtukufu wa ramadhani.Ndoa hio ilihudhuria watu wachache ambao ni members of family na washkaji kadhaa,




(Mke wa SAT B)




   (SAT B akiwa pamoja na mke wake)

(www.burundinyambo.blogspot.com)


 

vendredi 13 juillet 2012

Paparazzi


IGISABO ART GROUP wakibandika ma bango zao za movie barabarani watia aibu mjini...........
Alikuepo STEVEN R.GWAMBAYE na AKIMANA IDDY OMARI...........

                    Posted by RUKUNDO Buba

mardi 10 juillet 2012

Imuhira Festival haikwenda kama tulivyo fikiriya apo awali…



www.burundinyambo.blogspot.com
kama tulivyo wafahamisheni mwishoni mwa jumaa iliyopita Burundi ilikuwa imepata fursa yakuanda Festival yakimataifa iliyo zikutanisha nchi tofauti za kanda ya Afrika Mashariki na Jamuhuri yakidemokrasia ya Congo.Walikuwa wamesubiriwa wasanii vigogo barani Afrika kama Weasel & Redio toka Ouganda katika kundi la Good Life,Jaguar,Tom Close,Diamond,Docter Claude,Mickeal Ross na Papa Wemba.Kwa taarifa tulizo zipata toka kwa aliye kuwa anasimamiya mambo yakupasha habari Landry MUGISHA alitwambiya:“Ni mambo mengi yaliyo tuma Tamasha isifanyiki siku mbili apo nikizungumziya Jumaa-mosi na Jumaa-pili,mambo yaliyo sababisha pengine ifikapo hapo kesho ntaweza kuyaweka wazi kwani kuna mambo wako wanafatiliya Bank kwa upande wa mambo ya hesabu tuliyo yafanya na Kampuni kutoka Ouganda tuliyo ingiya nayo mkataba kuhusikana na swali nzima la ufundi(Sonorisation),ni mambo mengi yaliyo ingiliyana ndugu yangu na yakatuma Tamasha lisiendeki kama tulivyo kuwa tulitangaza kupitiya vituo tofauti vya Radio na Television,kwa kweli twa omba radhi kwa watu wote walio weza kutokeya siku zote hizo 4.Fahamu yakuwa Tamasha rasmi ilianza hapo tarehe 5/July/2012 kwenye ukumbi huyo huyo wa EFI tarafani NYAKABIGA,siku hiyo watu wengi wali itika wito na walikuwa wengi kweli,siku ya pili hapo tarehe 6/July/2012 watu walikuwa wengi vile vile,siku ya tatu hapo tarehe 7/July/2012 watu wali itika ila bahati mbaya hawakuburudika na muziki kama walivyokuwa wanasubiriya.Na hivo hivo jana hapakuwa lolote.tusubiri muelezo wawalio anda Tamasha hiyo ili tujuwe ni kipi kilicho sababisha kwani apo awali kama tulivyo wajulisheni Festival hiyo ingelichukuwa pengine na fasi ya kwanza kwa Tamasha zote zilizo kuwa zimeandaliwa nchini Burundi apo tukinukulu misemo ya LANDRY MUGISHA (chargé de la Communication).Itaendeleya…

Tamasha yakuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Burundi imefanyika hapo jana Bruxelles/Belgium…



T max,Chiba & Farious
Tamasha iliyo kuwa inasubiri kwa hamu Ulaya hususani kwa kombaini ya Warundi na Wanyarwanda sana sana wanao ishi kule ilifanyika hapo jana mjini Bruxelles,kwakuwa hatukuwa na ripota wetu kule tlijifunza tutumiye njiya ipi ili tupate hali halisi ya mambo yalivyo kuwa sehemu zile,ndo tukapata mmoja kati ya waimbaji wa hapa nchini Burundi ajulikane kwa jina la Ayubu a.k.a AB anae unda kundi nzima la Brothers Unit na akawa ametusimuliya haya yafwatayo

www.burundinyambo.blogspot.com
Nataka kukufahamisha kuwa Concert ya tarehe 7/July Bruxelles ili kuwa nzuri sana. Waimbaji wetu wameonesha uwezo mkubwa sana kitu ambacho kimefurahisha sana. Jana hata mimi nimeshuka Bruxelles kutokeya Ufaransa kwenda kuwaona waimbaji wenzangu wenye nimekuwa na muda mrefu kidogo siwaoni piya nimeweza kumuona Africa Nova ambaye nimekuwa sijawahi kuona face 2 face mbali na runinga ya RTNB.Kutokana na muda, kila muimbaji amepewa fursa ya kuimba nyimbo mbilimbili. T-Max amegusiya kidogo Bujumbura ndo nyumbani, Sanaa we umenitowa mbali…,akamaliziya Ndabaramutsa ambapo ukumbi wa watu umesimama nakuanza kucheza. Yoya ametuimbiya Uramumbwirira pamoja na wiyumva gute ambopo ameonesha uwezo mukubwa kwasababu imekuwa live ambapo ametufurahisha sana.”

Hassan Hossam & Yoya
Huyo ni Mrundi anaye ishi Ufaransa alijielekeza Belgium alitupa habari hiyo kwa muhtasari.Shukran sana…

 Yoya,Fariouz,T max

mardi 3 juillet 2012

Umurwi "INYANGE GIRLZ"

                                         (www.burundinyambo.blogspot.com)

Umurwi INYANGE GIRLZ,uba muri AUSTRALIA,n'umurwi w'abarundi batamba ivy'abarundi,bakerekana imico yacu mu gihugu ca western Australia perth city,
                                                                               "Inyange Girls"


T MAX à Bruxelles / Belgique




www.burundinyambo.blogspot.com

Mwanamuziki RICHARD FRANCIS NAMWATA TIMOTHEO a.k.a T Max,Mamamaamtiii a.k.a Mapafu ya mbwa hapo juzi ndipo aliwasili kwenye uwanja wa ndege mjini Bruxelles/Belgium ambapo alipokelewa na watu wengi wakiwemo vile vile mashabiki wake toka pande za Uholanzi ambao nawao waisubiri tarehe 7/July ambapo kombaini ya Warundi wanao ishi Ubelgigi watasheherekeya miaka 50 ya Uhuru wa Burundi.Hadi sasa kwenye horodha ya waimbaji watakao burudisha na kuelimisha watakao hudhuriya kwenye Tamasha hilo litakalo wakusanya waimbaji vigogo wa Burundi T Max mwenyewe ndo kishafika,na hapa leo au kesho wasubiriwa YOYA na UWINYOTA RIZIKI,na ifikapo hapo tarehe 6/July watakuwa tayari wamewasili AFRICA NOVA na DJ NICOLAS toka Canada,waimbaji kama Big Farious & Kidum wao wako tayari kule kwa jitihada yakupokeya wageni hao.Fahamu ya kuwa Tamasha hilo inaandaliwa na uwezo mkubwa,moja nikuonyesha Ulimwengu kuwa tunao waimbaji ambao wanao uwezo wakukonga nyoyo za watu kupitiya kazi nzuri ya production ya nyimbo zao wanazo imba.Kumbuka tena kuwa mwanamziki T Max alisafiri pamoja nae EXCELLENT NIMUBONA na Mkurugenzi mkuu kwenye Wizara ya Vijana na Tamaduni SINZINKAYO Léonard.Safari yao ilikwenda muruha,walifurahi na mapokezi ya warundi wanao ishi kule kama ABOUBAKAR,JEREMIE HAKESHIMANA,CYBILLE CISHAHAYO

Martine na nduguze.
Alitwambiya MARTINE,raia Mrundi anae ishi Uhollanzi:“Nilishindwa kujikaza nilipo pata taarifa kuwa T MAX yupo kwenye horodha ya waimbaji watakao turusha roho hapo tarehe 7/July,nilitoka Uholanzi na ndugu zangu ili kwenda kuwapokea,ni furaha kubwa kwangu na kuona mwenyewe ametimiza ndoto yake aliyo kuwa nayo kujitangaza zaidi kimziki,siku hiyo moto utawaka siyo siri kwakua atakuwa pamoja na Mwanajeshi mwenzake Big Farious.”Tamasha hilo linamulikiwa kufanyika ifikapo hapo tarehe 7/July/2012 hapo hapo Bruxelles.Itaendeleya…

T Max & Excellent in Bruxelles.
         
  Via  Amidou Hassan (www.greatlakesmix.com)